Wawili watolewa TMT ni Catherine Nicholaus na Jackson Sakumi
Watazamaji ukumbini wakifuatilia shoo.
Watazamaji ukumbini.
Mshiriki, Catherine Nicholaus kutoka Kanda ya Kati Dodoma baada ya kuyaaga mashindano ya TMT 2015.
Catherine Nicholaus kutoka Kanda ya Kati Dodoma na Jackson Sakumi Kutoka Mbeya kanda ya Nyanda za Juu Kusini.
Group la Kwanza kutokea kushoto
ni Mohamed,Catherine,Nadhifa,Naomi na Rachel wakiwa mbele ya majaji
kusikiliza comment baada ya kile walichigiza kutazamwa.
Group la Kwanza kutokea kushoto
ni Mohamed, Catherine, Nadhifa, Naomi na Rachel wakiwa mbele ya majaji
kusikiliza comment baada ya kile walichigiza kutazamwa.
Group la Kwanza kutokea kushoto
ni Mohamed, Catherine,Nadhifa, Naomi na Rachel wakiwa mbele ya majaji
kusikiliza comment baada ya kile walichigiza kutazamwa
Group la pili kutokea kushoto ni
Tonluck, Said, Catherine, Aisha, Kalombo, Jackson na Mohamed wakiwa
mbele ya majaji kusikiliza comment baada ya kile walichigiza kutazamwa
Jackson Sakumi Kutoka Mbeya
akimkumbatia mwenzake Catherine Nicholaus kutoka Kanda ya Kati Dodoma
baada ya kutangazwa kuyaaga mashindano ya TMT 2015
Jackson Sakumi Kutoka Mbeya kanda ya Nyanda za Juu Kusini baada ya kuyaaga mashindano ya TMT 2015
Jackson Sakumi.
Kutoka kushoto ni Madam wa TMT house na waalimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam ambao katikati Issa Mbuya na Dr. Mona Mwakalinga
Mboto na Lulu
Mboto akizungumza na washiriki baada ya comments za majaji
Mboto na Lulu
Rachel akiinua mikono ikiwa ni
ishara ya kumshukuru Mungu baada ya kukoswakoswa kuondolewa kwenye
mashindano baada ya kutoka danger zone kuwa kwenye safe side
Wadau waliojitokeza ukumbini kutazama sho
Wakitoa Shukrani zao kwa TMT,Majaji,waalimu na Crew nzima ya TMT
Jackson Sakumi Kutoka Mbeya kanda ya Nyanda za Juu Kusini baada ya kuyaaga mashindano ya TMT 2015
washiriki
Ikiwa zimebaki siku chache kufika final
za Shindano la TMT 2015 limezidi kupamba moto baada ya washiri kubaki 12
kulingana na 20 walionza mashindano hayo,wiki hii tumetazama washiriki
wawili wakiyaaga mashindano hayo ni Catherine Nicholaus kutoka Kanda ya
Kati Dodoma na Jackson Sakumi Kutoka Mbeya kanda ya Nyanda za Juu
Kusini.Wameaaga mashindano hayo baada ya kuwa kwenye jua la utosi
(danger zone) kwa wiki mbili pia kilichofanya kuondolewa katika
mashindano hayo ni kuwa na kiwango kidogo cha kura walizopigiwa na
watazamaji.
Baada ya kutangazwa kuyaaga mashindano
hayo Catherine Nicholaus na Jackson Sakumi waalisema wanawashukuru
waandaaji wa Shindano la TMT kampuni ya Proin promotions kwa kuandaa
shindano hilo la kuibua vipaji vya uigizaji nchini maana limelenga
kuibua na kuwatengenezea ajira vijana nchini.
Aliongeza kwa kuwashukuru waalimu wao
kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam ambao ni Dr. Mona Mwakalinga na
Issa Mbuya kwa kuwa wamehusika sana katika kukuza sanaa yao kwa
kuwafundisha na kuhakiisha saana yao inaongezeka kiwango,walimalizia kwa
kuwashukuru majaji na washiriki wenzao kwa kuwaambia wakaze buti na
kuongeza bidii mpaka kufikia kile walichokusudia.
Wiki hii washiriki wote wameingia kwenye
danger zone (jua la utosi) ili kumuondoa mshiriki kwenye jua la utosi
mpigie kura Mshiriki umpendae ili aendelee kubaki katika mashindano ya
TMT 2015 na kumpa nafasi zaidi ya kushinda milioni 50. Andika TMT acha
nafasi, namba ya mshiriki kisha tuma kwenda 0784367738.
Nadhifa Haruna 01, Aisha Katabazi 02,
Kalombo Amboni 04, Dennis Laswai 05, Tomluck Stephan Shukuru 06 ,Titus
Maridhia 08, Daniel Lufingo 09, Vandeline August 11, Naomi Chuwa13,
Sadam Nawanda 14, Mohamed Massanga 15, Saidi Bakari Mbelemba16, Rachel
Michael 17.
Usikose kutazama Kipindi cha TMT 2015
kila Jumapili saa 3:30,marudio alhamisi saa 5:30 usiku na Jumamosi saa
7:00 mchana kupitia luninga ya ITV

Post a Comment