Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga, ametangaza kuihama CCM kutokana na kutokuwepo Demokrasia ya Kweli ndani ya CCM. Ametangaza kujiunga na CHADEMA. Chanzo: jamiiforums
Post a Comment