Windows 10 yazinduliwa, Ni bure kwa watumiaji Kompyuta
Windows 10 imeadhimisha mwanzo mpya katika matumizi ya kompyuta mara
baada ya kuzinduliwa kiamataifa siku ya Jumatano ikiwa ni jaribio la
kampuni hiyo kujaribu bahati yake katika sekta ya simu za windows.
Kwa mujibu wa mtendaji mkuu wa kampuni ya Microsoft amesema kwamba Windows 10 itatolewa bure kwa wateja wengi kama hatua ya kuboresha programu hiyo.
Hata hivyo makampuni yatalazimka kulipia toleo hilo jipya hivyo watengenezaji wa PC watahitajika kuiweka katika vifaa hivyo.
Microsoft imekua mbioni kuizindua kwa muda wa wiki kadhaa zilizopita, hivyo si kila mtu atapata fursa hiyo ya kuboreshewa siku ya kuanzishwa kwake.
Ili kuipata window hiyo tembelea katika mtandao wao wa www.microsoft.com/en-us/windows/

Post a Comment