Nyota wa muziki wa RnB nchini na muigizaji wa Filamu, Hemedy PHD
ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Imebaki Story’ iliyofanyika katika
mikoa mnne ya nchini Tanzania. Video imefanywa na kuongozwa na Kwetu
Studio ikihaririwa na Adam Juma. Itazame hapa…
Post a Comment