Tetesi za Dk. Slaa kujiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!
Taarifa zilizoandikwa na magazeti ya leo likiwemo gazeti la Raia Tanzania la leo Julai 30, 2015 zinasema,Dk. Wilbroad Slaa, amejiandaa kubwaga manyanga muda wowote kuanzia sasa.
Ameandika barua iliyobeba ujumbe wa kuonyesha jinsi Lowasa alivyopokelewa CHADEMA bila masharti.
Tusubirie kupambazuke ili tupate content ya kilichoandikwa na hilo gazeti la Raia Tanzania la leo.
Ameandika barua iliyobeba ujumbe wa kuonyesha jinsi Lowasa alivyopokelewa CHADEMA bila masharti.
Tusubirie kupambazuke ili tupate content ya kilichoandikwa na hilo gazeti la Raia Tanzania la leo.

Post a Comment