ad

ad

TATU BORA ILIYOPITISHWA NA NEC, MAGUFULI, AMINA NA ASHA MIGIRO

Kikao cha HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 3 ambao ni: 1) John Magufuli 2) Asharose Migoro 3) Amina Salum Ali. Hatua inayofuata ni majina ya wagombea hawa kuwasilishwa MKUTANO MKUU WA TAIFA ili kupata jina moja (1) la mgombea Urais 2015. 
Powered by Blogger.