MAJIBU YA DIAMOND PLATNUMZ KUHUSU BEEF, UCHAWI, KULIPIA COLLABO, TEAM ZA MITANDAONI.. (AUDIO)
Diamond Platnumz alikuwa live kwenye XXL @CloudsFM, kuna vingi kaviongea Exclusive, nilipata nafasi kumsikiliza na hivi ni baadhi ya vitu alivyoviongelea leo June 6 2015.
Unadhani Diamond anaamini uchawi >>> “Japokuwa vitabu vya dini vinasema ‘ndele’ zipo lakini haupaswi kuamini… Kuamini ni sawa na kumkiuka Mwenyezi MUNGU”
Kuna beef kati yake na Ali Kiba? Na vipi zile Team kwenye Mitandao ya Kijamii >>> “Sijawahi
kuwa na beef nae hata siku moja… Sioni kama kuna ubaya wowote, kila mtu
ana maamuzi kumchagua mtu anayemtaka yeye kumshabikia, huwezi
kumlazimisha mtu”


Post a Comment