JLO asherehekea bethidei yake na kinguo cha ajabu
MWANAMUZIKI na mwigizaji, Jennifer Lynn
Lopez ‘JLO’ mwishoni mwa wikiendi alisherehekea miaka 46 ya kuzaliwa kwa
kutupia kinguo kilichoacha sehemu ya maungo yake wazi na kumfanya
aonekane binti wa miaka 20.

Post a Comment