JAMANI DADA MARTHA LOOO!-12

ILIPOISHIA:
Walikaa kitandani, safari hii walikaa sanjari wote wakiangalia mlangoni, miguu yao ikining’inia kwenda chini.
“Kwa hiyo we huwezi kukaa na mimi kama hivi huku tunazungumza?” aliuliza Martha huku akimwangalia Roi, Roi naye akamwangalia Martha kwa macho ya kiume, Martha akalegea, lakini akajikaza...
“Mimi nitaweza bro,” alisema Martha huku akimwangukia mapajani Roi...
“Ka...ka ja...ma...ni...”
ENDELEA SASA...
Roi alijikuta akitetemeka, mwili ulimwishia nguvu huku akihisi kizunguzungu cha mahaba mwilini mwake...
“Sis...taaa...” aliita kwa sauti ya kiume, iliyotoka kwa mtetemeko.
“A...be...ee,” Martha naye aliitika sauti iliyojaa maumivu na kusubiri tiba ya dhati kutoka kwa mwanaume huyo akiwa kama mwanamke mkamilifu.
“Hali yako vipi?”
“Mi...mi nipo tayari mpenzi...”
Roi alimshika Martha, akamweka kifuani pake na kumwinua kitandani kisha wakaanza kwenda sambamba kwa kusukumana ili kupandisha moto mwilini.
Martha muda mwingi alikuwa akiweweseka kwa maneno matamu yaliyojaa mahaba kiasi cha kumfanya Roi ajisikie kama yuko kwenye ulimwengu mwingine kabisa na si duniani.
Roi aliamua kujiweka sawa, akamweka sawa, akaingia uwanjani na mechi ikaanza huku kila mmoja akiwewesekea mahaba hayo.
Haikufika dakika kumi, Martha akatoa tangazo la kufika kwenye eneo alilolitafuta, akamtaarifu Roi, akapokelewa kwa mikono miwili huku akisifiwa kwa maneno matamu kwamba anaweza kuucheza mpira sawasawa.
“Siistaaa,” aliita kwa kigugumizi Roi, Martha akamkatalia kwamba yeye si sista wake tena...
“Niite mpenzi.”
“Mpenzi.”
Kumbe Roi naye alimwita Martha ili amtangazie kuwasili kwake kwenye mafanikio ya safari yao na yeye akapokelewa kwa maneno matamumatamu.
***
Martha na Roi walikuwa wakijiuliza ni kwa nini wanaingia na kutoka wakati ukweli uko wazi tu...
“Hivi kuna siku tutarudia ukaka na udada?” aliuliza Roi, Martha akacheka kwa mbali...
“Mimi nikuulize wewe...” alisema Martha.
“Na mimi nikuulize wewe.”
“Teh! Teh! Mimi naweza...”
“Huwezi bwana, tusidanganyane,” alisema Roi kwa sauti ya kujiamini sana, Martha akacheka tena, safari hii kwa kicheko cha juu kidogo...
“Haya tuamue kuanzia sasa hivi mimi na wewe ni kaka na dada,” alisema Martha...
“Haya tuanze, tena sogea pembeni yangu usiniguse,” alisema Roi huku akipeleka mkono kwenye nido moja ya Martha, akapiga ukelele na kulegea macho...
“Baby bwana...” alilalamika Martha akiwa amebadilika sauti. Ilitoka kwa kinyonge maana mwili ulishapata moto kwa kule kushikwa nido tu.
“Nini?”
“Unanisisimua bwana...”
“Aaah! Mimi na wewe si kaka na dada jamani?”
“Hata kama! Sasa unanishika huko wakati unajua nitapata tabu...”
“Ukipata tabu mimi kaka yako si nipo.”
“Hiloo, tumeshakubaliana leo iwe mwisho,” alisema Martha.
Roi akapeleka mkono tena na kushika mahali palepale, Martha akapiga kelele, akainuka na kumwegemea Roi huku akisema...
“Umenianza mwenyewe, sasa lazima umalizie kazi uliyoianza.”
Hapo Martha sasa alimlalia kifuani Roi kwa staili ya utundu huku akimwangalia kwa macho ya karibu sana...
“Sitaki,” alisema Roi...
“Hakuna bwana, huwezi kunichaji halafu ukaniacha hivihivi, haiwezekani,” Martha alitumia nguvu kumweka Roi kwenye himaya yake.
Roi alitoka kitandani, Martha akamfuata, wakakimbizana chumbani japokuwa kilikuwa kidogo. Roi akaingia bafuni, Martha akafuatia. Hapo wote walikuwa kama walivyozaliwa.
“Kwani dada unachotaka ni nini zaidi?” aliuliza Roi huku akiachia tabasamu...
“Mimi siyo dada yako kwanza! Halafu si kingine ninachokitaka, wewe unakijua sana. Wewe si ndiyo umenichaji bwana, lazima unitoe kwenye chaja sasa,” alisema Martha akiwa amemshika kwa nguvu mwanaume huyo na kutoka naye bafuni kurudi chumbani huku akiendelea kusema...
“Twende kitandani, sikubali mimi.”
Walipofika chumbani, Martha alitangulia kupanda kitandani, ghafla Roi akaenda nyuma ya mlango na kutungua suruali kwa lengo la kuvaa.
“Ha! Ha! Una maana...”
Kabla hajamaliza, Roi alifungua mlango ili atoke chumbani humo...
Je, unajua nini kiliendelea? Usikose kusoma chombezo hili tamu sana SIKU YA KESHO
Post a Comment