ad

ad

EX-BOYFRIEND WA NICKI MINAJ, SAFAREE AJIBU MAPIGO KWA KUMUONESHA

MREMBO WAKE MPYA
Aliyekuwa boyfriend wa miaka 12 wa rapper Nicki Minaj, Safaree Samuels ameamua kujibu mapigo kwa kumuonesha mrembo anayeaminika kuwa mpenzi wake mpya, ikiwa ni ishara kuwa hatimaye ame move on.

Baada ya Nicki kuachana na Safaree na kuweka wazi uhusiano wake mpya na Meek Mill, hali hiyo ilimsumbua Safaree kiasi cha kuamua kumdiss Nicki kupitia wimbo alioachia ‘Love The Most’.
Huyu ndio mrembo aitwaye Zashia ambaye ni makeup artist wa Miami anayeaminika kuwa mpenzi mpya wa Safaree, huku wengine wanasema huenda anajaribu kutaka kumuumiza Nicki tu.





Powered by Blogger.