ESHA BUHETI AKIRI KUCHEPUKA
Na Brighton Masalu
Mwigizaji Bongo, Esha Buheti,
licha ya kuwa ndani ya ndoa, amekiri kuchepuka na mcheza mpira mmoja
ambaye hakutaka kuweka wazi jina lake.
“Najua wambeya watataka kumchunguza
mpenzi wangu wa sasa ndiyo maana namuweka mtandaoni kisha nafuta
harakaharaka,” alisema Esha.

Post a Comment