ad

ad

Diamond Platnumz ashinda Tuzo nyingine ya Kimataifa

Diamond Platnumz bado anaendelea kusumbua katika anga ya Muziki wa Afrika…Ikiwa ni juzi tu ametoka kuchukua Tuzo ya MTVMAMA kama best live act..
Tuzo aliyoichukua Diamond Platnumz
Leo tena amechukua tuzo ya Msanii wa mwaka(AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR) katika tuzo za African Achievers Awards2015‬.
Katika Mtandao wa Faceboo Diamond ametoa shukrani zake nyingi kwa wote waliofanikisha mpaka akachukua tuzo hiyo…Diamond Platnumz ameandika “thanks God for keep Blessing my Hustle….AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR ‪#‎AfricanAchieversAwards2015‬ (Shukran Nyingi ziwafikie Uongozi wangu kwa kuhakikisha unanisimamia ipaswavyo, Mama yangu kipenzi Sandrah, My beautiful Baby @zarithebosslady , Media zote, na Mashabiki zangu pendwa kwa kuendelea Kunisuport bega kwa bega…. Pia Nimpongeze Mh Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa Kushinda katika Tunzo hizi za #AfricanAchieversAwards2015 leo kama Kiongozi Bora wa Africa…. ‪#‎MsaniiBoraWaAfrica‬ ‪#‎KiongoziBoraWaAfrica‬“.

 Cheki video hapa chini…Diamond Platnumz akichukua tuzo…
Powered by Blogger.