Anaye daiwa kuwa mhasibu wa QUALITY Group DSM.akamatwa na mabegi ya fedha zaidi ya Sh.Milion 725 zinazodaiwa kuwagawia wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM mjini Dodoma ili kumchagua kigogo mmoja. Taarifa zaidi tutawafahamisha kadiri zitakavyo thibitishwa na mamlaka zinazoendelea na Uchunguzi.
Post a Comment