ad

ad

Ali Kiba atimiza mwaka mmoja tangu aliporudi kwenye ‘game’na kuachia ngoma ya Mwana

Staa wa Bongo Fleva,Ali Kiba leo ametimiza mwaka mmoja tangu aliporudi kwenye game na kuachia ngoma yake ya Mwana ambayo ilifanya nyema kwenye vituo vya TV na redio na kuwa wimbo bora wa mwaka jana 2014 kwenye tuzo za KTMA.
Ali kiba alikaa zaidi ya miaka miwili bila kutoa ngoma na kuamua kurudi na ngoma mbili ya Mwana na Kimasomaso ambapo Mwana ilifanya vizuri zaidi.
11410393_128263504178285_1959072655_n[2]
Kupitia akaunti yake ya Instagram aliandika aliwaambia mashabiki wake kutimiza mwaka mmoja na kuandika hivi @officialalikiba #TheReturnOfTheKing #Mwana #KingKiba .
Powered by Blogger.