UNATAKA TIKETI YA OLD TRAFFORD? JIBU HILI HAPA…
Tiketi zote kwa mechi za Old Trafford msimu wa 2015/16 zimeanza kuuzwa kuanzia tangu Juni 19, 2015. Tembelea manutd.com/membership au piga simu 0161 464 8888 ili kuwa memba wa klabu.
Ukitaka kununua tiketi za VIP kwa mechi moja moja bei yake ni pauni 149+VAT (Sh 400,000) au tembelea manutd.com/matchdayvip au piga simu 0161 826 6586 kwa maelezo zaidi.
# Kumbuka bei hizo hazihusishi mechi dhidi ya Arsenal, Chelsea, Liverpool na Man City.

Post a Comment