LADY JAY DEE AVALISHWA PETE
Nimekuletea picha hizi
zikithibitisha Jide Kuvishwa pete..japo mpaka sasa hajajulikana
aliemvalisha pete ni nani....Moja ya Couple za mastaa zilizokuwa maarufu
ni ile ya Gadner na Msanii
maarufu wa tanzania ajulikanae kama Lady Jaydee, Lakini mapenzi hayo
yaliisha baada ya kutokea mambo ambayo mpaka sasa hakuna anaejua ukweli
zaidi ya hao wawili.

Jaydee akionyesha pete yake..

CREDIT KWA Hass Media

Jaydee akionyesha pete yake..

CREDIT KWA Hass Media
Post a Comment