Aliyekuwa mke wa staa Nick Cannon ‘Mariah
Carey’ amendelea kudumisha mahusiano yake na Bilionea James Packer
ambaye ni mmiliki wa majumba ya kamari [casino] .
Mariah anapewa bata kubwa na tajiri huyu anaye mpeleka kwenye nchi tofauti na weekend hi walikuwa Italia.
Post a Comment