ZAMARADI ANOGEWA NA KUZAA
Mtangazaji wa Kipindi cha Take One, kinachorushwa kupitia Clouds TV,
Zamaradi Mketema ‘Zama’ amefunguka kuwa, ataongeza tena watoto kwani
tangu amejifungua mtoto wa pili ameona nyumba imekuwa na raha sana.
“Yaani watoto ni furaha kubwa, mimi nitaongeza tena wawili wa haraharaka maana nimegundua kuna kitu kinaongezeka kila unapoongeza mtoto mwingine ndani ya nyumba ikiwa ni pamoja na baraka,” alisema Zamaradi.
Mtangazaji wa Kipindi cha Take One, kinachorushwa kupitia Clouds TV, Zamaradi Mketema ‘Zama’.
Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni, Zamaradi alisema, ameshangazwa
na furaha iliyotawala kwake na mzazi mwenzake na kwamba siku si nyingi
atabeba mimba nyingine mbili fasta.“Yaani watoto ni furaha kubwa, mimi nitaongeza tena wawili wa haraharaka maana nimegundua kuna kitu kinaongezeka kila unapoongeza mtoto mwingine ndani ya nyumba ikiwa ni pamoja na baraka,” alisema Zamaradi.
Post a Comment