ad

ad

ROMAN ABRAMOVICH ALIVYOSHANGILIA UBINGWA WA CHELSEA


Tajiri wa Chelsea Roman Abramovich akishindwa kujizuia kushangilia ubingwa wa timu yake uliokuja baada ya kuichana Crystal Palace 1-0 kwenye uwanja wa Stamford Bridge. Huu unakuwa ni ubingwa wa nne kwa Abramovich tangu alipoinunua Chelsea mwaka 2003.

No comments

Powered by Blogger.