RAIS NKURUNZIZA WA BURUNDI NI MKALI WA SOKA JIONEE HAPA
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza akionyesha uwezo wake katika soka.
MBALI na siasa, Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza pia ni mkali katika kusakata soka.
Rais Nkurunziza akifanya vitu vyake uwanjani.
Katika picha zilizotolewa na Reuters jana zimemuonyesha rais huyo akicheza soka pamoja na marafiki zake mjini Bujumbura licha ya mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini mwake.Rais Nkurunziza alikuwa akisakata kabumbu ndani ya Mji Mkuu wa Bujumbura mji uliokumbwa na maandamano makubwa tangu atangaze nia ya kuwania awamu ya tatu ya uongozi.
Inaelezwa kuwa rais huyo ni mkali katika kucheza nafasi ya straika huku akionyesha uwezo mkubwa wa 'kukontrol' mpira akiwa na timu yake ya Aleluya FC.
Post a Comment