ad

ad

PICHA: YANGA SC WAMKABIDHI DEUS KASEKE JEZI YA CHUJI

Meneja wa Yanga SC, Hafidh Saleh (kushoto) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, kiungo mpya Deus Kaseke (kulia) leo makao makuu ya klabu, Jangwani, Dar es Salaam. Katikati ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu, Jerry Muro.
Kaseke amepewa jezi namba nne iliyoachwa wazi na kiungo wa zamani wa timu hiyo, Athumani Iddi 'Chuji' aliyeachwa misimu miwili iliyopita  

No comments

Powered by Blogger.