ad

ad

MASOGANGE: WABUNGE WAWILI WANAMNYIMA USINGIZI KWA KUWA WANAMSUMBUA!

 

VIDEO Queen, mwenye umbo la aina yake, Agness Gerald ‘Masogange’ amefunguka kwa kinywa chake kuwa wabunge wawili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanamnyima usingizi kwa kuwa wanamsumbua kila kukicha wakimtaka kimapenzi.
Video Queen, mwenye umbo la aina yake, Agness Gerald ‘Masogange’.
Akizungumza Masogange alisema usumbufu wa viongozi hao unamkosesha amani.
“Sijawahi kuona wabunge ving’ang’anizi kama hao, mpaka kuna kipindi nafikiria labda wanaambiana maana anaweza mmoja akakusumbua mchana kutwa, mwingine usiku unashindwa kulala ni simu tu,” alisema Masogange.

Alishangaa wakati wakimsumbua usiku ni wapi wake zao wanakuwa wapi, kiasi cha kutia shaka kuwa huenda hiyo ndiyo sababu mambo mengine kwenye nchi hayaendi sawa kabisa
CREDIT: GPL

No comments

Powered by Blogger.