MAFURIKO DAR BADO NI MAJANGA TUPU!
Wananchi wakionekana kupata adha ya kupita katika mafuriko eneo la Chuo Cha Ustawi wa Jamii Kijitonyama.
Magari yakipita kwa tabu katika mafuriko eneo la Bamaga-Mwenge.
Baadhi ya wananchi wakivushwa kwa kushikwa mkono katika eneo la Afrika Sana jijini Dar. Kushoto ni kijana anayemvusha mtu kwa kumshika mkono ambapo hutoza kiasi cha shilingi mia mbili.
Post a Comment