KANYE WEST AENDELEA KUZOMEWA
STAA wa wimbo ya All Day, Kanye West ameendeleza
wimbi la kuzomewa na mashabiki baada ya jana kufanyiwa hivyo katika
pambano la mpira wa kikapu huko Oakland, California, Marekani.
Kuonesha kuwa hawezi kuwakwepa maadui zake, Kanye West alipata aibu hiyo alipokuwa uwanjani hapo akiishabikia timu ya Golden State Warriors.
Kelele za kuzomewa staa huyo zilienea zaidi pale alipokuwa akioneshwa kwenye skrini kubwa zilizofungwa uwanjani hapo lakini alipokuwa akioneshwa staa wa vichekesho, George Lopez zomeazomea hazikuwepo.
Hii si mara ya kwanza kwa staa huyo kuzomewa. Katika sherehe za utoaji tuzo za Billboard pia staa huyo alizomewa

Post a Comment