Mwanamuziki wa Bongo Fleva anayefanya vizuri katika tasnia hiyo, Pamela Daffa 'Pam D' akiwarusha mashabiki wa Dar Live kwa songi lake kali la Nimempata. Vijana wa Pam D wakifanya yao stejini. Pam D akizidi kuwadatisha mashabiki. ...Akicheza sambamba na dansa wake.
Post a Comment