KIVAZI CHA LINNAH CHAZUA GUMZO MTANDAONI
MTOTO mzuri ndani ya anga la Bongo Fleva, Esterlinah
Sanga ‘Linnah’ amezua gumzo la aina yake baada ya kutupia picha yake
mtandaoni akiwa ametinga mavazi mafupi yaliyoacha sehemu kubwa ya mwili
wake ikiwa wazi.
Linnah alitupia picha hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram hivi karibuni na kuwafanya watu wengi wanaotumia mtandao huo kusambaziana picha hivyo huku kila mmoja akiibua maswali yake.Haya ni baadhi ya maoni ya watu tofauti kuhusiana na picha hiyo: ‘Mh! Hii amezidisha sasa Linnah jamani’, ‘amependeza msimfanyie hivyo mtoto wa watu’, ‘mzuri ni mzuri tu hata avae gunia, big up Linnah’

Post a Comment