JORDIN SPARK APATA BWANA MPYA
Miezi kadhaa baada ya kubwagana na Jason Derulo, mwanamuziki Jordin Spark ameonekana kuhamishia majeshi kwa rapa Dominic Woods.
Jordin Spark akipozi kimahaba na Dominic Woods.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Sparks alitumia picha
inayowaonyesha wawili hao wakiwa katika pozi la kimahaba.Huenda Sparks
ameweka moyo wake kwa kijana huyo baada ya kutengana na Derulo kwa kile
alichodai kuwa mwanaume huyo hakuwa na nia ya dhati kwenye penzi lao.
Post a Comment