ad

ad

HII KALI YA MWAKA … MSHAMBULIAJI WA DYNAMO MOSCOW APEWA OFA YA NGONO NA STAA WA FILAMU ZA NGONO IWAPO ATAFUNGA MABAO MATANO MSIMU HUU

 

MSHAMBULIAJI wa Dynamo Moscow ya Russia, Alexander Kokorin amepewa ofa ya saa 16 kufanya mapenzi na staa wa picha za ngono, Alina Yeremenko kama atafunga mabao matano zaidi msimu huu. Yeremenko, raia wa Russia anayetumia jina la Alina Henessy katika filamu anazocheza, alitoa ofa hiyo wakati wa mahojiano na waandishi wa michezo wa nchi hiyo ambapo alitoa alama 10 ya 10 kwa Kokorin kutokana na mwonekano wake. “Soka ni kama filamu za ngono kwa sababu kumejaa wavulana wanaovutia… Kama kabla ya mwisho wa ligi (ya Russia) Alexander Kokorin atafunga mabao matano, naahidi kufanya naye ngono kwa saa 16 kama asante,” alisema. Dynamo kwa sasa inakamata namba tano katika ligi ya Russia, pointi tatu nje ya nafasi ya kucheza Europa League msimu ujao ikiwa na mechi 10 mkononi, na Kokorin tayari amecheka na nyavu mara saba.
Credit: Saluti 5.com

No comments

Powered by Blogger.