ad

ad

BARCELONA YACHANJA MBUGA LA LIGA, YAIFUMUA ALMERIA 4-0

 

Barcelona imezidi kukaribia taji la La Liga baada ya kuifumua Almeria 4-0 katika mchezo ulioisha hivi punde. Mshambuliaji Luis Suarez ambaye sasa ‘injini’ yake inaanza kuchanganya vilivyo, akafunga mara mbili katika dakika ya 55 na 90. Lionel Messi naye hakubaki nyuma, alifunga bao moja kwenye dakika ya 33 huku beki Marc Bartra akifunga katika dakika ya 75. Barcelona (4-3-3): Bravo; Alves, Bartra, Mascherano, Adriano; Sergi Roberto, Xavi, Rakitic; Messi, Suarez, Pedro. Subs: Ter Stegen, Montoya, Mathieu, Pique, Iniesta, Rafinha, Neymar Almeria (4-2-3-1): Julian; Ximo Navarro, Marin, Trujillo, Casado; Partey, Corona; Wellington Silva (Soriano), Espinosa (Mane), Edgar (Zongo); Bifouma

No comments

Powered by Blogger.