Timu ya Yanga inafanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2 - 0 sawa na kipigo ambacho Simba walikipata toka kwa Mgambo majuzi. Magoli ya Yanga yamefungwa na Msuva pamoja na Amiss TAMBWE mnamo dakika ya 77 na 83. .
Post a Comment