MENINA AFICHA KOVU PAJANI KWA TATUU
Binti anayekuja kwa kasi kwenye gemu la muziki, Menina Atick
amelazimika kutumia mimu ya kujichora tatuu pajani ili kuziba kovu kubwa
lililopo eneo hilo nyeti.
Msanii huyo mwenye figa tata alinaswa na paparazi wetu maeneo ya Mikocheni kwenye Ukumbi wa Escape One akiwa amejichora tatuu na katika kufuatilia ikabainika kuwa, kovu kubwa lililoharibu eneo hilo ndilo lilisababisha urembo huo.
Akipiga stori Menina alisema ni kweli alikuwa na baka eneo hilo na katika kumfanya aendelee kuwa na mvuto, alitumia mbinu hiyo ya kuziba kwa tatuu.

Post a Comment