CHUCHU: RAY AMEWAKIMBIZA MARAFIKI ZANGU WOTE
Nyota wa filamu Bongo, Chuchu Hans ameibuka na kusema rafiki yake wa
kiume, Vincet Kigosi ‘Ray’ amewakimbiza marafiki zake wote kwani tangu
waanze uhusiano wao, hawapo karibu naye kwa vile awali walikuwa
michepuko yake.
“Unajua nilikuwa najiuliza sana kwa nini marafiki walitawanyika ghafla baada ya kuwa na uhusiano na Ray, nikagundua kuwa wengi wao walikuwa ni wake wenza ndiyo maana waliamua kujinasua wenyewe lakini nashukuru maisha yanaendelea,” alisema Chuchu.
Nyota wa filamu Bongo, Vincet Kigosi ‘Ray’ akiwa na mpenz wake Chuchu Hans.
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko hivi karibuni, Chuchu alisema
baada ya mashostito hao kumkimbia alijiuliza sababu na alipochunguza
akagundua kuwa wengi walikuwa wanajihusisha kimapenzi na Ray, ambaye pia
ni muigizaji nyota.“Unajua nilikuwa najiuliza sana kwa nini marafiki walitawanyika ghafla baada ya kuwa na uhusiano na Ray, nikagundua kuwa wengi wao walikuwa ni wake wenza ndiyo maana waliamua kujinasua wenyewe lakini nashukuru maisha yanaendelea,” alisema Chuchu.
Post a Comment