WEMA SEPETU, OMMY DIMPOZ NI WAPENZI? JIONGEZE HAPA! WATUPIA PICHA WAKIWA KITANDANI!!
Baada ya kuwa ni wazi sasa kuwa wawili hao
wapo kwenye Le Project flani Amazing..sasa wameamua kutupia picha
kwenye kurasa zao za mitandaoni wakiwa kitandani.
Alianza Ommy na badae akafuta Wema ambae aliweka picha hizo jana usiku na kuwatakia followers wake usiku mwema.
Penzi la watu hawa linaendelea kuzua mvutano
mkali kati ya wale ambao wanaona sawa na wale ambao wanaona kama sio
sawa, wanaosema sawa wanasema,baada ya watu kuachana kila mmoja ana haki
ya kula maisha na anaempenda hivyo hakuna dhambi kwa Wema kula raha na
alikuwa shemeji yake.
Huku wengine wakisema wawili hao wanakosea
kwasababu Ommy na Diamond ni marafiki wa karibu sana na kutilia mashaka
kuwa pengine inawezekana walikuwa wakitamaniana toka enzi za Wema
alipokuwa na Diamond.
Ila team Wema wengi wanasema sasa ndio muda wa bidada nae kupata kitumbo…tena Ommy ni HB kushinda jamaa

Post a Comment