TATOO MPYA YA IRENE UWOYA YAWA GUMZO MTANDAONI
Mwigizaji wa filamu Bongo, Irene Uwoya amewaacha midomo wazi mashabiki wake baada ya kuachia Tatoo mpya mtandaoni,
Irene aliachia picha hii mtandaoni bila kuandika kitu chochote
kwahiyo ikawa kawa amewaachia fursa mashabiki wake watiririke.
Post a Comment