ad

ad

CHUCHU HANS:NINACHOJUA MIMI JOHARI HAKUWAHI KUWA MPEZI WA RAY!!



Mrembo na muigizaji wa filamu Chuchu Hans ameyameha hayo kwenye alipokuwa akiohijwa kwenye kipidi cha Take One kinachorushwa na kitucho cha televisheni cha Clouds TV.

“Ninachojua JOHARI hakuwahi kuwa na mahusiano yoyote ya kimapenzi na RAY ila ni Partners in Business tofauti na watu wanavyofahamu"

Chuchu Hans  alisisitiza kuwa bado yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na muigizaji na muongozaji wa filamu, Vicent Kigosi ‘Ray’mbali na tetesi za zilizoenea kuwa wameteman.

Ray anadaiwa  kuwa alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Johari ambae kwa pamoja wanamiliki kampuni ya kutengeneza filamu ya RJ.

No comments

Powered by Blogger.