ad

ad

BABA MZAZI WA DULLY SYKES, MZEE SYKES AFARIKI DUNIA


Mzee Sykes enzi za uhai wake.
Dully akiwa na baba yake mzazi, Mzee Sykes enzi za uhai wake.
Baba mzazi wa mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Dully Sykes, Mzee Sykes amefariki dunia jana akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili, jijini Dar es Salaam. 2jiachie inatoa pole kwa Dully Sykes na familia nzima ya Mzee Sykes kwa msiba huu mzito. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!

No comments

Powered by Blogger.