SUZY MIMI SIO BONGO MOVIE
MSANII anayezidi kuja kwa kasi Bongo Movies, Happy Nyatawe ‘Suzy’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa kutokana na migogoro mbalimbali iliyokuwepo ndani ya Kundi la Bongo Movie, hata akipita njiani akiitwa kwa kutumia jina hilo hatogeuka.

Msanii anayezidi kuja kwa kasi Bongo Movies, Happy Nyatawe ‘Suzy’ akipozi.
“Kweli kabisa, mimi nikiitwa tu msanii wa Bongo Movie nikiwa napita njiani, sigeuki ng’o wataita mpaka wachoke kabisa, hali ni mbaya Bongo Movie tubadilike,” alisema Suzy.
Post a Comment