LULU: MAPEDESHEE NDIYO WANAWALIPA WASANII WA KIKE BONGO
Elizaberth Michael 'Lulu' amefunguka kuwa wasanii wa kike wa filamu bongo wana biashara nyingine iliyojificha ndani ya ile ya filamu ambayo inawalipa zaidi.
Lulu amepasua kuwa hao wanaowategemea mapedeshee kuendesha maisha yao huku huku wengi wakiamini kwamba mabinti hao wa Bongo Movie wanalipwa vizuri kutokana na n filamu wanazoigiza.

" Ukweli haupo hivyo hali hii inatokana na wengi wetu kudumaa na hatuwezi kufanya mambo makubwa kwa kuigiza na wasanii wakubwa lakini hakuna anayeliona hili" alifafanua
Hakuna anayefikilia kuigiza na wasanii wa kimataifa kama Ritha Dominic ili sanaa ilimlipe mna wengi wanategemea Mapedeshee au biashara zisizo rasmi, kwani filamu inaonekana ipo juu lakini wahusika wake wanalipwa kwa staili nyingine kabisa" alisema
Chanzo: Mwanaspoti
Post a Comment