JINA LA KAJALA KUONEKANA KWENYE SODA ZA KOPO ZA COCA-COLA
Mwigizaji wa filamu mwenye sura ya upole na umbo la Kiafrika, Kajala Masanja ni moja kati ya watu ambao majina yao yataonekana kwenye makopo mapya ya kinywaji cha Coca-cola.

Leo mchana, wawakilishi wa coca-cola walimtembelea Kajala nyumbani kwake na kumpatia zawaidi ya kinywaji hicho kikiwa kwenye chupa yenye jina lake.
Endelea kuwa nasi kujua kinanani wengine wamebahatika kwenye hili.

Post a Comment