ad

ad

COUPLE IPI KATI YA HIZI MBILI UNAYOIPENDA?


Mahaba nitetemesheeee kama umemeee


Diamond Platinumz akiwa na mpenzi wake Zari
Kohokohooooo, leo ni mambo ya maloveeee, couple ipi kati ya hizo mbili unayoipenda?? naomba kama kuna nyingine unazozijua za uhakika please ututajie ila si za uzushi, kuna watu wameniomba niandike hii ila wakaongeza ya Kajala na Quick Rocka ila kwakuwa sijathibitisha sija add hapo, haya na wewe unaweza ukatoa mawazo kama una couple unayoijua nzuri, kama huna jimwage kati ya hizo mbili...... ipi nzuri???  watu na ma baby zao wenye vifua haswa sio kifua mosquito chest kama wewe ndo wa mosquito chest usionee wenzio wivu kitulize kama mabaga fresh....

tukutane ktk comments

No comments

Powered by Blogger.