ad

ad

VIJANA WAKATOLIKI WAFANYA MISA UFUKWENI

 
Askofu Eusebius Nzigilwa akiwaasa vijana (Hawapo pichani).
 
….akiwa na viongozi wengine.
 
Wana kwaya wakiimba.
 
Vijana wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam  wakiwa kwenye  misa.
 
Muonekana wa madhabahu katika ufukwe huo.
 
Baadhi ya waaumini wakiwa kwenye misa hiyo ya ufukweni.
VIJANA Wakatoliki leo, wamefanya misa ya ufukweni (Beach Mass) fukwe za Mbezi beach,  Tangi Bovu,  jijini Dar es Salaam.Misa hiyo imeshirikisha vijana toka parokia mbalimbali za Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
Akizumgumza na vijana hao Askofu Msaidizi wa Jimbo la Dar es Salaam, Eusebius Nzigilwa alisema: ‘’Vijana nawaombeni mtumie vipaji vyenu kutangaza habari njema, iwe kwa sanaa ama uandishi, nimefurahishwa na makundi yenu kwenye mitandao ya kijamii, ninasoma mafundisho yenu ambayo wakati mwingine ni mazito na mazuri kiimani.”
Aidha Askofu huyo amezidi kuwaasa vijana kuwafuata wanaotumiwa na shetani kuposti picha zisizo na maadili katika mitandao ya kijamii.

No comments

Powered by Blogger.