ad

ad

ROBOTI ZAPATA AJIRA MGAHAWANI CHINA




Hadimu hivi karibuni huenda wakakosa ajira maana roboti zimezinduka
Mgahawa mmoja nchini China umeanza kutumia Roboti badala ya kuwaajiri hadimu au wafanyakazi wa hotelini kuwapakulia chakula na vinywaji wageni. Hebu tazama mambo yalivyo

No comments

Powered by Blogger.