RAYUU AKIRI KUKOSA MVUTO WA MAPENZI
MCHEZA filamu za Kibongo,
Alice Bangezi ‘Rayuu’, amedai kuwa huwa anashindwa kudumu na mwanaume
kwa kuwa hana mvuto wa mapenzi na mara nyingi anachezewa na kuachwa kwa
dharau kubwa.
Mcheza filamu za Kibongo, Alice Bangezi ‘Rayuu’.
Rayuu alitoa siri hiyo iliyo ndani ya mtima wake, baada ya kuwekwa
kati na paparazi wetu ambaye alitaka kujua sababu kubwa inayomfanya
kubadilisha wanaume, ndipo alipotoa neno hilo zito kwamba huwa anaachwa
kwa sababu hana mvuto na utaalamu wa kuwateka wanaume kama wanawake
wengine.
Post a Comment