JIPATIE ZAWADI YA SH 100,000 KWA KUTUMA PICHA YAKO NZURI YA POZI
Jipatie Zawadi nono kuanzia shillingi 50,000 na kuendelea kwa kututumia picha yako ukiwa umejiachia peke yako au na marafiki zako katika pozi.
Tutatuma picha kuanzia Desemba, 25 - January 5, 2015 kama sehemu ya kuwa pamoja na wasomaji wetu.
ZINGATIA HAYA KUSHINDA
1. Mshindi lazima awe ame-like page yetu ya Facebook ==> 2jiachie
2. Tuma jina lako na namba ya simu
3. Picha zote zitakazotumwa zitawekwa katika website yetu kuanzia Decemba 28, 2014.
Picha zitumwe kwenye email hii 2jiachie@gmail.com au WhatsApp +255 654 50 42 66

Post a Comment