WALIOTOLEWA BBA NI HAWA HAPA
Kutoka
kwa washiriki Kacey Moore ambaye alikuwa anawakilisha Ghana, Luis
mwakilishi wa Namibia, na Arthur mwakilishi wa Rwanda kumefanya idadi ya
washiriki waliotoka mpaka sasa kufikia washiriki kumi, wanne kati yao
ni wa kiume na wa kike sita.
Hizi ni baadhi ya picha za matukio wakati washiriki hao wakiwa wanatolewa.
Arthur, mwakilishi wa Rwanda aliyetolewa BBA Hotshots.
Washiriki wa BBA waliotolewa, Kacey Moore (aliyevaa miwani)wa Ghana na Luis wa Namibia (Kulia).

Post a Comment