ad

ad

TAJIRI WA BUKOBA: MWILI WA MAREHEMU LEONARD MUTENSA WACHUKULIWA HOSPITALI YA MKOA NA KUPELEKWA NYUMBANI KWAKE, KUZIKWA LEO

 Tukio hilo lililozua gumzo mjini Bukoba, lilitokea usiku Novemba 18, mwaka huu ambapo imeelezwa kuwa marehemu ambaye ni baba wa familia, kabla ya kupatwa na umauti, alikutwa ndani ya gari yake aina ya IST lenye namba za usajili T. 982 CQG akifanya mapenzi na mchepuko wake aliyetajwa kwa jina la Jackline Hassan (25) maeneo ya Buyekere mjini Bukoba.





PICHUA ZOTE NA FAUSTINE RUTA, BUKOBA

No comments

Powered by Blogger.