RIPOTI YA CAG YAVUJA, BAADHI YA KURASA ZINAZODAIWA KUCHOMOLEWA ZAWEKWA WAZI
Ripoti
ya CAG Yavuja baadhi ya kurasa zinazodaiwa kuchomolewa zawekwa wazi na
ripoti nzima yadaiwa itawekwa hewani endapo kutatokea kuchakachua
Kimsingi, ripoti nzima ipo na itawekwa hewani endapo michezo inayochezwa itaendelea!
Nimesikitishwa
na taarifa za kuanza kunyofolewa kurasa za ripoti hii; bahati nzuri
kuna watu wanayo original copy na imeshasambaa sana hivyo ni vema
wahusika wakaacha wabunge waifanye kazi yao kwa kadiri inavyostahili.
Hatungependa kuingilia sana lakini tunaona kama tunalazimishwa kufanya hivyo.
DOKEZO:
Hizi chini ni baadhi ya kurasa zinazodaiwa kunyofolewa…
Source:Jamii Forums
Post a Comment