PICHA YA BEYONCE YENYE MASHAIRI YA JAY Z INAYOZUNGUMZIWA ZAIDI
Muda mwingine mastaa hufanya kitu
kutingisha mashabiki zao, haswa masta wa Marekani pale wanapokuwa na
kitu kipya huanza na drama na kitu cha kushangaza watu.
Kwenye picha hii ya Beyonce ameonekana na nguo ya kuogelea yenye mashairi ya wimbo wa Jay-Z yakiwa yamebadilishwa kuwa "99 Problems But My ass Aint One"
Kwenye picha hii ya Beyonce ameonekana na nguo ya kuogelea yenye mashairi ya wimbo wa Jay-Z yakiwa yamebadilishwa kuwa "99 Problems But My ass Aint One"

Post a Comment