PICHA TATU ZA BEYONCE, JAY Z WAKIFANYA YAO ZAWA GUMZO
Beyonce na Jay Z walionekana wakiwa wameshikana mikono yao huku kila mmoja akiwa na furaha wakipita katika jiji la New York, Marekani kufuatia uvumi wa wana ndoa hao kutofautiana. Wanandoa hao walionekana kuonyesha mahaba zaidi walipokuwa wakikatiza katika mitaa ya jiji hilo.
Post a Comment