LAVEDA WA BBA AZITAJA SIFA ZA BOYFRIEND AMTAKAYE, AKANUSHA KUJICHUA MJENGONI
“Boyfriend nayetaka kwanza lazima ajitambue ajue anachokitaka, anisapoti mimi nachokifanya anielewe aielewe fani yangu, nikisema kunisapoti namaanisha emotionally, mentally nikiwa nafanya kitu aelewe, and also you know awe very, awe very [kicheko] yeah loving charming handsome [kicheko] loving charming handsome tall, [kicheko] tall handsome guy.” Alisema Laveda
Katika
hatua nyingine Laveda ametumia nafasi hiyo kukanusha kuhusu skendo ya kujichua
kwenye shindano hilo.
“Sikuwahi kufanya mapenzi either na mimi mwenyewe
(kujichua) wala na watu wengine. Manake kwanza hapa mnachoongelea ni kitu
ambacho kimesikika ila hatujaona, sasa mimi niko hapa wiki ngapi sijui hizo
video zinatafutwa, kama kweli sidhani kama Big Brother atazuia kuonesha hizo
clips kama nchi inasisitiza no tunahitaji kuziona hizi clips huyu mwananchi
wetu alienda kushiriki pale tutamdiscipline kama kweli alifanya whatever.
So until now hizo clips sijui ziko wapi mimi mwenyewe
sijafanya so I don’t know what is going on, but it’s up to you mwisho wa siku
you judge on something ulichokiona wewe mwenyewe…na kumbuka ni mashindano, wale
waliokuwa wananiongelea kuhusu mimi ndani ya nyumba wanatoka nchi tofauti na
walishaniona mimi ni tishio kutoka siku ya kwanza.”
Source: Global TV Online

Post a Comment